17 Aprili 2025 - 19:21
Uhusiano wa Iran na Urusi | Waziri wa Mambo ya nje ya Iran apokelewa na Putin Jijini Moscow

Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (a.s) - ABNA - Uhusiano wa Kidiplomasia baina ya Tehran na Moscow unazidi kuimarika zaidi na ni uhusiano usioweza kuvunjika, ni uhusiano wa muda mrefu kihistoria. Katika video hii fupi, Rais wa Urusi Vladmir Putin amempokea leo hii Waziri wa Mambo ya wa Iran, Mh. Sayyid Abbas Araqchi katika Ikulu ya Urusi, Jijini Moscow.

Uhusiano wa Iran na Urusi | Waziri wa Mambo ya nje ya Iran apokelewa na Putin Jijini Moscow + Video

Your Comment

You are replying to: .
captcha